Mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere, ametwaa kiatu cha dhahabu baada ya kuibuka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo
Kagere ametwaa tuzo hiyo baada ya kufikisha mabao 22
Amewaacha mbali washindani wake wakiongozwa na Yusufu Mhilu wa Kagera Sugar aliyefunga mabao 13
Wengine waliofuata ni Obrey Chirwa wa Azam Fc mwenye mabao 12 na Reliats Lusajo wa Namungo Fc ambaye pia ana mabao 12
Hongera Kagere kwa kushinda ufungaji bora back2back, mabao 45 ndani ya misimu miwili sio jambo rahisi..!
ADVERTISE HERE