Bocco anawafunga mdomo wakosoaji wake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2018
Bocco anawafunga mdomo wakosoaji wake
Alianza msimu taratibu kiasi kupelekea baadhi ya mashabiki wasio wavumilivu kuanza kuponda usajili wake kutoka Azam FC.

Lakini tangu apone majeraha yake, nahodha wa Simba John Bocco amekuwa akiwabeba vinara hao wa ligi mabegani kutokana na kufunga mabao muhimu

Bocco sasa amefikisha mabao saba ambapo kwenye siku za hivi karibuni amekuwa akifunga kwenye karibu kila mchezo anaokuwa dimbani.

Licha ya kuwa moja ya washambuliaji mahiri kuwahi kutokea kwenye soka la Tanzania, Bocco ni mvumilivu na uzoefu wake utaisaidia Simba kutwaa ubingwa msimu huu.

Aidha ushirikiano wake mwema na kinara wa mabao Emanuel Okwi ni habari mbaya kwa timu nyingine zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’