Baada ya kuwasili Moshi jana, jioni kikosi cha Simba kilianza maandalizi kuelekea mchezo wa kukamilisha msimu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa kesho Jumapili
Huo utakuwa mchezo wa kukamilisha hesabu za msimu, huku Simba ikiwa tayari imeshakua ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo





ADVERTISE HERE