Shamrashamra na shangwe zilitawala katika viunga vya mji wa Moshi baada ya mabingwa wa nchi Simba kuwasili tayari kwa mchezo wa kukamilisha msimu dhidi ya Polisi Tanzania
Simba imewasili Moshi mchana wa leo wakitokea Wilayani Same ambako walishiriki uzinduzi wa Tawi la klabu hiyo
Mchezo dhidi ya Polisi Tanzania utapigwa Jumapili






ADVERTISE HERE