Kampuni ya SportPesa ambayo ni moja ya wadhamini wa klabu ya Simba, mwishoni mwa msimu wanatarajiwa kutoa tuzo kwa mchezaji atakayepata kura nyingi kuwa mchezaji Bora wa SportPesa kwa msimu wa 2019-20
Kura zinapigwa na mashabiki kupitia kurasa ya mtandao ya kijamii ya kampuni ya Sportpesa
Hii ni nafasi kwa kila Mwanamsimbazi kumpigia kura mchezaji anayedhani anafaa kupewa tuzo hiyo kwa msimu huu
Unachotakiwa kufanya ni kuembelea kurasa ya Sportpesa @tzsportpesa ya Facebook na umpigie kura mchezaji wako ili achomoke na tuzo ya Mchezaji Bora na kitita cha 1,000,000/= taslimu.
Piga kura mara nyingi uwezavyo ili Mchezaji wako pendwa ashinde.
ADVERTISE HERE