Fraga afurahia msimu wake wa kwanza Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jul 2020
Fraga afurahia msimu wake wa kwanza Simba

Kiungo wa Simba Mkata Umeme raia wa Brazil Gerson Fraga amesema amefurahi kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichotwaa ubingwa msimu huu na kuwapa furaha mashabiki wao

Fraga aliyefanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki katika mechi za lala salama, amesema kwake yeye kucheza Simba na kufanikiwa kushinda ubingwa katika msimu wake wa kwanza ni jambo kubwa la heshima

"Tunafurahi kama timu tumeweza kutimiza malengo yetu kwa kushinda ubingwa na kuwapa furaha mashabiki wetu. Unajua kila timu iliyocheza na Simba inaingia uwanja kwa kukamia, halikuwa jambo rahisi," amesema Fraga

"Kwangu binafsi hili ni jambo kubwa, nawashakuru wachezaji wenzangu ambao wameendelea kunipa ushirikiano bila ya kuwasahau mashabiki ambao kwa hakika ndio kila kitu kwangu kwani bila wao pengine tusingeweza kupata mafanikio haya"

Kwa kiwango alichoonyesha hasa baada ya mapumziko ya corona, Fraga amejiweka katika nafasi nzuri ya kuongezewa mkataba na kuiondolea Simba presha ya kusajili kiungo mwingine wa ukabaji

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’