Corona kuvuruga mipango ya kambi nje ya nchi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jul 2020
Corona kuvuruga mipango ya kambi nje ya nchi

Uongozi wa klabu ya Simba umesema hatma ya kwenda kuweka kambi nje ya nchi itategemea na mwenendo wa ugonjwa wa corona ambao bado unazisumbua nchi mbalimbali duniani

Imekuwa kawaida kwa Simba kwenda kuweka kambi nje ya nchi kujiandaa na msimu mpya lakini mambo yanaweza kuwa tofauti kuelekea msimu ujao

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amesema wataangalia ni mahali gani patafaa kuweka kambi iwe ni ndani au nje ya nchi kutokana na uwepo wa changamoto ya corona

"Kama tutapata nchi ambayo haitakuwa na shida ya corona na mazingira ya maandalizi ya msimu yakawa yanaridhisha, tutakwenda huko iwe Afrika au Ulaya, lakini kama itashindikana kabisa hilo, basi tutakuwa hatuna jinsi tutatafuta mkoa wenye mazingira sahihi hapa nyumbani na ndio tutakwenda huko," amesema Mazingisa

Msimu uliopita Simba iliweka kambi Afrika Kusini wakati mwaka juzi waliweka kambi nchini Uturuki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’