Msafara wa kikosi cha mabingwa soka nchini Simba umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Tanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa keshokutwa Alhamisi uwanja wa Mkwakwani
Simba imeelekea Tanga ikiwa na taji lake la Ligi Kuu, wakiwapelekea mashabiki wao wa jijini Tanga kupata nafasi ya kufurahia ubingwa wao



ADVERTISE HERE