Mabingwa wa nchi Simba mapema leo walikamilisha maandalizi yao katika uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kuelekea mkoani Tanga kuifuata Coastal Union tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Mchezo huo wa kukamilisha ratiba utapigwa keshokutwa Alhamisi katika uwanja wa Mkwakwani






ADVERTISE HERE