Wakazi wa Tanga kupata fursa ya kushangilia ubingwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jul 2020
Wakazi wa Tanga kupata fursa ya kushangilia ubingwa Simba

Uongozi wa klabu ya Simba umepanga kutinga jijini Tanga na taji la ubingwa wa Ligi Kuu kuwapa fursa mashabiki wake mkoani humo kufurahia taji hilo kama ilivyokuwa kwa wenzao wa Dar es salaam

Keshokutwa Alhamisi, Simba itashuka kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kuumana na Coastal Union katika moja ya mechi za ligi kuu zilizobaki kukamilisha msimu

Baada ya mchezo huo Simba itaelekea mkoani Kilimanjaro, kuhitimisha msimu kwa kuumana na Polisi Tanzania katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Ushirika Moshi

Michezo yote ya kukamilisha msimu itapigwa Jumapili, Julai 26 ambapo timu zote zitashuka viwanjani

Simba imekabidhiwa taji la Ligi Kuu moja kwa moja baada ya kulitwaa kwa misimu mitatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’