Baada ya mapumziko ya siku kadhaa kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea mazoezini kesho Jumatatu kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar, Oktoba 15.
Mazoezi hayo yatajumuisha wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha timu ya taifa 'Taifa Stars' ambao walikuwemo kwenye kikosi cha Stars kilichotoka sare ya bao 1-1 na Malawi jana.
Wachezaji wengine waliokuwa kwenye timu zao za Taifa wanatarajiwa kuwasili wakati wowote kulingana na taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Haji Manara

ADVERTISE HERE