Kumekuwa na mkanganyiko wa muda wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba dhidi ya Alliance Fca ambao utapigwa baadae leo kwenye uwanja wa Taifa
Awali Azam Tv ambao wataonyesha mchezo huo mbashara, walitangaza kuwa ungechezwa saa moja usiku
Hata hivyo uongozi wa Simba umethibitisha kuwa mchezo huo utapigwa saa kumi jioni
Mashabiki wametakiwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kupata fursa ya kushangilia ubingwa wao kwani kombe litakuwepo uwanjani
ADVERTISE HERE