Viingilio Simba vs Alliance Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jul 2020
Viingilio Simba vs Alliance Fc

Uongozi wa klabu ya Simba umetaja viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance Fc ambao utapigwa leo saa kumi jioni kwenye uwanja wa Taifa

Simba imeweka viingilo rafiki kuwapa fursa mashabiki kujitokeza kwa wingi kufurahia ubingwa wao kwani leo kombe litakuwepo uwanjani

Mzunguuko ni Tsh 3,000/- wakati VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/-

Kombe litakuwa uwanjani kuanzia saa sita mchana hivyo mashabiki wameaswa kuwahi mapema kupata wasaa wa kufurahia ubingwa huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’