Mabingwa kuwakabili Aliance Fc uwanja wa Taifa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jul 2020
Mabingwa kuwakabili Aliance Fc uwanja wa Taifa leo

Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba jioni ya leo kinashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Alliance Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Mchezo huu utakuwa wa mwisho kwa Simba kucheza katika uwanja wake wa nyumbani msimu huu, hivyo utatumika kama mchezo wa kufunga msimu

Ndio maana uongozi wa klabu ya Simba umetoa fursa kwa mashabiki wake kusherehekea ubingwa wao leo pale uwanja wa Taifa

Taji la ubingwa wa ligi ku litakuwa uwanjani kuanzia mapema mchana ambapo mashabiki watakaojitokeza uwanjani watapata fursa ya kupiga picha na kombe pamoja na wachezaji wa Simba

Mchezo unatarajiwa kupigwa saa kumi jioni na benchi la ufundi limeahidi kuwa kikosi kitakachoshuka dimbani leo ni kile kikosi cha kwanza ambacho kiliwapa dozi nene watani Yanga kwa kuwafunga mabao 4-1 wiki iliyopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’