Mashabiki kupiga picha na kombe uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jul 2020
Mashabiki kupiga picha na kombe uwanja wa Taifa

Wakati kesho mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom, Simba watacheza mchezo wao wa mwisho katika uwanja wao wa nyumbani msimu huu, uongozi wa timu hiyo umetoa fursa kwa mashabiki wake kupiga picha na kombe kwenye mchezo wao dhidi ya Allince Fc

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, mashabiki watakaojitokeza kesho uwanja wa Taifa watakuwa na nafasi ya kupiga picha na kombe la ubingwa kuanzia saa 6 mchana kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi dhidi ya Alliance.

Uongozi wa mabingwa hao umeamua hivyo kwakua ndio mchezo wa mwisho wa ligi msimu huu wa nyumbani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’