Mabingwa wa ligi kuu Simba na Namungo Fc, Julai 30 wanatarajiwa kuwasili wilayani Sumbawanga mkoa wa Rukwa tayari kwa mchezo wa fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) abao utapigwa August 02 katika uwanja wa Nelson Mandela
Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, Julai 31 timu hizo zitashiriki shughuli maalum za kijamii hapo Sumbawanga

ADVERTISE HERE