Manara awashangaa wanaodai Simba inatumia dawa, uchawi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jul 2020
Manara awashangaa wanaodai Simba inatumia dawa, uchawi

Uongozi wa Simba umesema kuwa unashangazwa na taarifa ambazo huwa zinaeleza kuwa timu hiyo huwa inamwaga dawa kwenye mechi zake pamoja na kudaiwa kupulizia dawa kwenye AC jambo ambalo halina ukweli kwani wana kikosi kipana.

Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa amekuwa akishangazwa na taarifa kuhusu AC pamoja na dawa kitu ambacho huwa hawafanyi.

"Unajua ukitoka nje utaskia sijui AC mara madawa yanawekwa duh mpaka anajiuliza hivi hawa watu wanajua upana wa kikosi cha Simba? Kuna watu wanajua kuuchezea mpira ila wanaishia benchi na sio ndani ya uwanja.

"Yupo Sharaf Shiboub yule jamaa kwa udambwiudambwi tu tuache uongo hafai anajua mpaka anapitiliza lakini ndani ya Simba anasugua benchi unadhani akienda Yanga ama Azam FC anaweza kusugua benchi?

"Hakuna kitu kinachoitwa dawa ndani ya Simba bali timu imara ndio maana tumetwaa ubingwa tukiwa na mechi mkononi sisi ni mabingwa na tunacheza kibingwa," amesema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’