Simba kazi moja dhidi ya Mbao Fc leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jul 2020
Simba kazi moja dhidi ya Mbao Fc leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kinashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Mbao Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Mabingwa hao wa nchi wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa hawana presha kwani tayari taji wanalo lakini pia ni juzi tu waliwafumua watani zao Yanga mabao 4-1

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema vijana wake walirejea mazoezini juzi na wako tayari kwa mchezo huo utakaopigwa saa moja usiku

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kushuhudia burudani kutoka kwa wababe hao wa soka nchini

Sven leo huenda atawapa nafasi wachezaji ambao wamekosa nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’