Kapombe humwambii kitu kwa Djuma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
28 Jan 2018
Kapombe humwambii kitu kwa Djuma
Beki Shomari Kapombe amemwagia sifa Kocha Msaidizi wa Simba, Masudi Djuma kwa kumrejesha upya uwanjani akiwa na moto kama zamani licha ya kutoka kwenye majeraha.

Kapombe aliyesajiliwa akitokea Azam, hakuwa amecheza mechi kwa miezi sita tangu alipoumia akiwa na timu ya taifa, lakini Jumatatu iliyopita alishuka dimbani kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar.

“Nashukuru viongozi kwa kunivumilia nilipokuwa majeruhi, lakini Djuma amenifanya nirudi kwa kasi kwani aliniambia nina uwezo na nipo vizuri licha ya kutoka majeruhi. Aliniambia lazima nicheze dhidi ya Kagera na kipindi cha pili alinipa nafasi na kusaidia ushindi kwa timu yangu,” alisema.

Naye Kocha Djuma alimwagia sifa beki huyo kwa kusema: “Kapombe ni mchezaji mzuri anayefiti katika mfumo wangu, kama ataendelea kuimarika zaidi atakuwa mtamu sana,” alisema Djuma.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE →