Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limeweka katika kurasa zake za mitandao ya kijamii matokeo ya mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopigwa juzi kwenye uwanja wa Taifa
Katika mchezo huo Simba waliwafumua watani zao Yanga kwa kuwabebesha kifurushi cha '4G'

ADVERTISE HERE