Jezi mpya Simba kutambulishwa Rukwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jul 2020
Jezi mpya Simba kutambulishwa Rukwa

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo wakae mkao wa kula tayari kupokea jezi mpya za mabingwa hao wa nchi kwa ajili ya msimu wa 2020-21

Manara amesema uzinduzi wa jezi hizo utafanyika kwenye mchezo wa fainali michuano ya kombe la FA dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa August 02 kwenye uwanja wa Nelson Mandela, huko Sumbawanga mkoani Rukwa

Manara ameyazungumza hayo mapema leo katika mahojiano na kituo cha redio Wasafi FM, msemaji huyo wa mabingwa wa nchi akipata nafasi ya kuweka wazi mikakati ya kushinda taji la FA ili kukamilisha 'dabo' msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’