4G yampagawisha CEO Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jul 2020
4G yampagawisha CEO Simba

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amefichua ni kwa kiasi gani alikuwa anaumizwa na kitendo cha kutowafunga Yanga katika michezo miwili iliyopita

Akizungumza baada ya ushindi wa mabao 4-1 ambao Simba ilipata dhidi ya Yanga jana, Mazingisa alisema, hakuwa na amani timu yake kutoifunga Yanga michezo miwili iliyopita

"Wakati najiunga na Simba nilipokewa kwa shamrashamra na furaha, Wanamsimbazi walinikubali"

"Lakini nilikuwa nikijiuliza kwa nini linapokuja suala la mchezo dhidi ya Yanga ilikuwa ngumu kupata ushindi? Niliamini kulikuwa na kitu kinakosekana mpaka tukapoteza mchezo wa ligi dhidi yao.

"Matokeo haya niliyasubiri kwa hamu na hakika ni matokeo bora kwangu na kwa timu yote," alisema Senzo

Tangu awe CEO wa Simba, huo ni ushindi wake wa kwanza dhidi ya Yanga, lakini huwezi kumuweka Senzo kando unapozungumzia mafanikio ya klabu ya Simba msimu huu

Amekuwa kiongozi wa mfano, ameongeza weledi katika utendaji kazi Simba na ameweka mkazo mkubwa suala la nidhamu kwa wachezaji na wafanyakazi wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’