Mo afurahi 4G dhidi ya Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jul 2020
Mo afurahi 4G dhidi ya Yanga

Kipigo cha mabao 4-1 walichochezea Yanga leo dhidi ya Simba kimeibua shangwe kutoka kwa kila la shabiki wa 'Mnyama'

Ushindi huu pia umempagawisha Mwekezaji Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ambaye ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi

Mo ameeleza kuridhishwa na kile alichokiona uwanja wa Taifa, leo akiwapa pongezi, wachezaji, benchi la ufundi pamoja na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kuwaunga mkono mabingwa hao wa nchi

"Tunamshukuru Mwenye ez Mungu, sote tumeridhika," aliandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Mo aliahidi kitita cha zaidi ya Tsh Milioni 400 kwa Simba kupata ushindi dhidi ya Yanga leo jambo ambao wachezaji wamelifanikisha

Inaelezwa kila mchezaji aliyekuwa uwanjani leo atavuna sio chini ya Tsh Milioni 15..!

This is Simba Brother...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’