Sherehe za ubingwa na zianze sasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jul 2020
Sherehe za ubingwa na zianze sasa

Wakati kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck akizuia wachezaji wake kusherehekea ubingwa uzi wapo waliochukizwa na hatua ya Mbelgiji huyo

Lakini kwa hiki walichokifanya Simba leo, kwa hakika Sven anastahili pongezi kwani alichanga karata zake vizuri

Ushindi huu wa mabao 4-1 dhidi ya Yanga leo umenogesha sherehe za ubingwa wa Simba ambazo sasa zinaweza kuanza

Pamoja na kuwa bado hesabu za kutwaa taji la FA hazijakamilika, lakini kwa matokeo haya ya leo kila Mwanamsimbazi anayo kila sababu ya kufurahia heshima hii iliyorejeshwa kibabe na wachezaji wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’