Mashabiki wa Simba wameanza kumiminika uwanja wa Taifa tayari wa mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Yanga ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni
Hakuna shaka mabingwa hao wa nchi watawafunika watani zao Yanga, kama ilivyo kawaida
Mashabiki walianza kuingia uwanjani kuanzia saa tano asubuhi..

ADVERTISE HERE