Simba ina kazi moja tu uwanja wa Taifa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jul 2020
Simba ina kazi moja tu uwanja wa Taifa leo

Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo wana jambo lao pale uwanja wa Taifa watakapowakabili watani zao Yanga katika mchezo utakaopigwa saa 11 jioni

Mechi hii ni ya kisasi kwa Simba, baada ya kupoteza mchezo wa ligi March 08, hii ni nafasi muhimu kwa Simba kulipa kisasi pamoja na kuzima ndoto za Yanga kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Kimataifa msimu ujao

Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck anafahamu amekutana na Yanga mara mbili na hakupata ushindi. Hivyo matokeo tofauti na ushindi katika mchezo wa leo yanaweza kuweka kibarua chake matatani

Huu ni mchezo ambao Wanamsimbazi wanahitaji kufurahi, wakiwa mabingwa wa nchi, itakuwa aibu kufungwa mara mbili na Yanga ambao kila mmoja anaifahamu hali yao

Hakuna shaka, mashabiki wa Simba watakuwa wengi pale uwanja wa Taifa kuiunga mkono timu yao, kazi itakuwa moja kwa wachezaji kukamilisha kile kinachosubiriwa na kila mmoja

Ni saa 11 jioni pale uwanja wa Taifa, leo lazima wapasuke...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’