Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba jioni ya leo kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Taifa
Mchezo huo wa nusu fainali kombe la FA, utakuwa wa kisasi kwa mabingwa hao wa nchi
Mashabiki wa Simba wameaswa kuchangamkia tiketi ili kuhakikisha kesho wanawafunika wapinzani wao Yanga



ADVERTISE HERE