Dabi ya kinadada wa Simba Queens na Yanga Princess imepigwa leo uwanja wa Uhuru na kushuhudia Simba Queens wakiondoka na ushindi wa mabao 5-1
Mwanahamisi aliingia kambani mara mbili kama ilivyokuwa kwa Oppa Clement huku Joel Bukuru akifunga la tano
Ushindi huo ni salamu kwa kaka zao, ambao Jumapili watakutana na mabingwa wenyewe katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE