Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wake kuchangamkia tiketi kwani ni mashabiki 30,000 ambao wataruhusiwa kuingia uwanja wa Taifa siku ya Jumapili
Tiketi zitaanza kuuzwa kesho Jumamosi na zitauzwa katika vituo kama vilivyoainishwa na taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo;

ADVERTISE HERE