Adhabu inaanza leo kwa dada zao

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jul 2020
Adhabu inaanza leo kwa dada zao

Vinara wa ligi kuu ya Wanawake Simba Queens leo watashuka uwanja wa Uhuru kuwakabili watani zao Yanga Princess katika mchezo ambao utapigwa kuanzia saa tisa na nusu Alasiri

Huu ni mchezo wa pili wa watani wa jadi upande wa Wanawake msimu huu, Simba Queens ikifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza

Bila shaka Simba Queens leo wataendeleza ubabe wao dhidi ya watani zao, watawatumia salamu kaka zao ambao Jumapili watakutana na 'mziki' wa mabingwa wa nchi wenyewe

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’