Sven kutumia saa 48 kuandaa 'dozi' ya Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jul 2020
Sven kutumia saa 48 kuandaa 'dozi' ya Yanga

Baada ya kukabidhiwa kikombe cha ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema leo ndio anaanza kupanga mikakati ya ushindi kuelekea mchezo wao wa nusu fainali ya mashindano ya Kombe la FA dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumapili

Simba ilitua jana kutoka kanda ya Kusini ambako ilicheza mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Ndanda Fc na Namungo pamoja na kukabidhiwa ubingwa wa ligi kuu

Sven hakutaka timu yake ivurugwe na shamrashamra za ubingwa hivyo aligomea tukio hilo lililokuwa limeandaliwa jijini Dar es salaam na kuagiza timu yake ielekee kambini moja kwa moja baada ya kuwasili Dar

Mbelgiji huyo aliwapa wachezaji wake mapumziko walipowasili na jioni wakaanza maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo

Simba itaingia katika mchezo huo ikiwa haina presha yoyote baada ya kuwa imemaliza kazi upande wa ligi kuu

Lakini ni mchezo ambao kila mchezaji anafahamu umuhimu wa ushindi, ubingwa hauwezi 'kunoga' kama hakutakuwa na ushindi dhidi ya Yanga

Taarifa a ndani ya uongozi zimebainisha kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameweka mezani 'kitita cha maana' kwa ajili ya ushindi katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’