Sven awapotezea Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2020
Sven awapotezea Yanga

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema maandalizi ya mchezo dhidi ya Yanga yataanza baada ya kikosi cha Simba kurejea jijini Dar es salaam

Akizungumza baada ya kikosi chake kukabidhiwa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo, Sven amesema wamefurahi kuhitimisha safari ngumu ya kuwania ubingwa

"Leo ilikuwa siku ya furaha kwa kila mmoja, tulishinda ubingwa siku 10 zilizopita lakini leo imekuwa siku muhimu kwetu kukabidhiwa kombe. Kuhusu mipango ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Yanga, nafikiri tutaianza tukirejea jijini Dar es salaam, kwa sasa hatujawa na mpango wowote," Sven aliiambia Azam TV

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema kikosi kitarejea jijini Dar es salaam mapema kesho Alhamisi, ambapo mashabiki watapata nafasi ya kuwapokea mabingwa hao Makao Makuu ya klabu ya Simba, Msimbazi Kariakoo

Baada ya kurejea Dar, Simba itaingia moja kwa moja kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’