Mabingwa wamekabidhiwa 'mali'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2020
Mabingwa wamekabidhiwa 'mali'

Mabingwa wa nchi Simba wamekabidhiwa taji la ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2019-20

Hafla ya kukabidhiwa ubingwa ilifanyika uwanja wa Majaliwa Ruangwa baada ya mchezo dhidi ya Namungo Fc ambao ulimalizika kwa suluhu ya bila ya kufungana

Huu ni ubingwa wa tatu mfululizo kwa Simba, na hivyo kukabidhiwa kombe hilo moja kwa moja

Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck pamoja na benchi lake la ufundi wanastahili pongezi kwa mafanikio haya

Lakini pia Patrick Aussems, kocha wa zamani wa Simba, ana sehemu yake kwenye mafanikio haya kwani alikiongoza kikosi cha Simba mpaka mwishoni mwa mwezi wa 11 mwaka 2019

Hongera Wanamsimbazi kwa ubingwa wa tatu mfululizo..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’