Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Namungo Fc dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Hafla ya kukabidhiwa ubingwa kwa Simba ndio tukio linalofuata

Simba 'itasepa' na taji la tatu mfululizo ambalo litakwenda kubaki Msimbazi milele..!
ADVERTISE HERE