Mabingwa wa nchi Simba saa tisa Alasiri, leo Jumatano watashuka kwenye uwanja wa Majaliwa, Ruangwa kuikabili Namungo Fc ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Baada ya mchezo huo, Simba itakabidhiwa ubingwa walioutwaa mapema wiki iliyopita
Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amefanya mabadiliko ya kikosi chake akiwapumzisha baadhi ya wachezaji kwa ajili ya mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili, Julai 12 2020
Hiki hapa kikosi kinachoanza leo;

ADVERTISE HERE