Tutalibeba mara 10 mfululizo - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2020
Tutalibeba mara 10 mfululizo - Manara

Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara leo atakuwepo uwanja wa Majaliwa pale Ruangwa kunogesha sherehe za kukabidhiwa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa tatu mfululizo

Wakati mji wa Ruangwa ukiendelea kupambwa kwa rangi nyeupe na nyekundu kuelekea shamrashamra hizo, Manara amewahakikishia Wanamsimbazi kuwa wataendelea kusherehekea ubingwa wa ligi kuu kwa miaka mingine saba

"Leo tunakwenda kukabidhiwa kombe kwa msimu wa tatu mfululizo. Ahadi yetu iko palepale, tutalibeba kwa miaka 10 mfululizo, hivyo tataendelea kusherehekea ubingwa kila mwaka kwa miaka mingine saba," alisema Manara

Shamrashamra za Simba kukabidhiwa ubingwa zinatarajiwa kuanza saa 11 jioni baada ya kukamilika kwa mchezo dhidi ya Namungo uliopangwa kuanza saa tisa Alasiri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’