Lechantre kuishuhudia Simba jukwaani wakati ikiivaa Majimaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jan 2018
Lechantre kuishuhudia Simba jukwaani wakati ikiivaa Majimaji
Uongozi wa klabu ya Simba uko mbioni kukamilisha upoatikanaji wa kibali cha kufanya kazi nchini kwa kocha wake Mfaransa Pierre Lechantre.

Kocha huyo aliyeanza kuinoa Simba Jumanne ya wiki hii hataweza kukaa benchi kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Majimaji kesho.

Kocha Msaidizi Masudi Djuma ataendelea kuongoza Simba kwenye mchezo huo dhidi ya Majimaji na ndiye atakayeachiwa majukumu ya kupanga kikosi.

Lechatre huenda akaanza kuonekana kwenye benchi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gendarmarie Februari 11.

Kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Majimaji ambapo kinafanya mazoezi kwenye uwanja wa bandari, Tandika jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’