Simba kuweka kambi Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jul 2020
Simba kuweka kambi Kusini

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuweka kambi kwa siku kadhaa mkoani Lindi kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili, Julai 12 kwenye uwanja wa Taifa

Kesho Jumatano Simba itashuka kwenye uwanja wa Majaliwa Ruangwa kuikabili Namungo Fc katika mchezo ambao utawashuhudia mabingwa hao wa nchi wakikabidhiwa ubingwa wao

Habari kutoka ndani ya uongozi wa Simba zimebainisha kuwa, wababe hao wa soka nchini wataendelea kubaki mkoani Lindi kwa siku kadhaa kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga

Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo huo wa nusu kombe la FA ambao utakuwa wa kisasi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’