Kapombe kuwa nje kwa wiki nne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jul 2020
Kapombe kuwa nje kwa wiki nne

Mlinzi wa kulia wa Simba Shomari Kapombe hataweza kucheza mechi zilizobaki kumaliza msimu kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Azam FC

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi, Sven Vandenbroeck amesema Kapombe atahitaji angalau wiki nne kuweza kupona majeraha yake hivyo hatacheza mchezo wowote hadi msimu unamalizika.

Kapombe alifanyiwa madhambi na kiungo Frank Domayo katika mchezo wa robo fainali wa FA dhidi ya Azam FC wiki iliyopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’