Mapema leo kikosi cha Simba kilijifua uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kujiweka sawa kuelekea mchezo dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumatano
Mazoezi hayo yalikuwa maalum kuweka miili ya wachezaji sawa baada ya mtanange wa jana dhidi ya Ndanda
Mabingwa hao wa nchi wanatarajiwa kuelekea Ruangwa, safari ya takribani masaa mawili na nusu tayari kwa mchezo ambao utashuhudia wakikabidhiwa ndoo yao waliyotwaa wiki iliyopita









ADVERTISE HERE