Hesabu za ufungaji bora bado ziko salama kwake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jul 2020
Hesabu za ufungaji bora bado ziko salama kwake

Pamoja na kutoingia kambani tangu ligi iliporejea baada ya corona, mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Meddie Kagere, hesabu zake za ufungaji bora bado ziko salama

Mabao yake 19 yanamfanya aendelee kuwa kileleni katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akiwa na mabao sita zaidi ya Yusufu Mhilu wa Kagera Sugar ambaye amefunga mabao 13

Katika mechi za karibuni Kagere amekuwa haanzi kwenye kikosi cha kwanza kutokana na kuimarika kwa kiwango cha nahodha John Bocco ambaye baada ya kurejea kutoka mapumziko ya corona amefunga mabao matatu na hivyo kufikisha mabao sita

Kutoanzishwa inaweza kuwa sababu inayomfanya Mnyarwanda huyo kasi yake ya kuzifumania nyavu ipungue

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
22h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’