FT : Ndanda Fc 0-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2020
FT : Ndanda Fc 0-0 Simba

Mabingwa wa nchi Simba leo wamelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Ndanda Fc katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

Ndanda inayopigana kujinusuru na janga la kuteremka daraja, ilitoa ushindani mkali kwa Simba ambayo hata hivyo mechi zilizobaki ni za kukamilisha ratiba tu baada ya kuwa imetwaa ubingwa tayari

Simba sasa inaelekea mkoani Lindi tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa Julai 08 katika uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

Ni baada ya mchezo huo Simba itakabidhiwa 'mwali' ambaye watarejea nae jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’