Simba kusaka heshima Mtwara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2020
Simba kusaka heshima Mtwara

Mabingwa wa nchi, Simba jioni ya leo Jumapili wanatarajiwa kushuka kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kumenyana na wenyeji wao Ndanda Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Simba itaingia dimbani kuwakabili Wana kuchele hao bila ya presha kwani tayari 'wameshasepa' na ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

Aidha Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck huenda akatumia mchezo huo kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao wamekosa muda wa kuonyesha uwezo wao mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza

Ni kwa  kuwa mchezo huu ni wa heshima tu kwao

Baada ya mchezo huo Simba itaelekea Ruangwa kule Lindi kuikabili Namungo Fc Julai 09 katika mchezo ambao utawashuhudia mabingwa hao wa nchi wakikabidhiwa ubingwa wao

Simba itakabidhiwa taji la ligi kuu moja kwa moja baada ya kulitwaa misimu mitatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’