Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda Fc
Mchezo huo ambao ni wa kukamilisha ratiba kwa upande wao, utapigwa katika uwanja wa Nangwanda Sijaona
Mabingwa hao wa nchi wameapa kuwa hawatakuwa ngazi ya Ndanda Fc kujinusuru kuteremka daraja




ADVERTISE HERE