Tunalipwa mshahara kwa wakati, bonus kibao - Kagere

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jul 2020
Tunalipwa mshahara kwa wakati, bonus kibao - Kagere

Kinara wa ufungaji Ligi Kuu Tanzania Bara, Medie Kagere amesema moja ya sababu zinazoifanya timu yake kupata matokeo ni pamoja na kupata mshahara na posho kwa wakati kitu kinachowapa wachezaji hamasa ya kufanya vizuri

"Mshahara unapatikana kwa muda kwa hiyo huwezi kuwa na mawazo. Tunapata bonus ambazo zinatusaidia sana kutupa hamasa," amesema Kagere

Kagere anaongoza orodha ya wafungaji kwenye ligi akiwa na mabao 19 huku zikiwa zimebaki mechi sita, pengine anaweza kufanikiwa kuwa mfungaji bora wa ligi kwa msimu wa pili mfululizo

"Nashukuru msimu wangu wa kwanza hapa nilikuwa mfungaji bora na sasa hivi ligi bado haijaisha lakini naamini mambo yatakuwa mazuri. Kwangu ni changamoto, kwa sababu ukifanikiwa kufanya vizuri inakupa hamasa ya kuendelea kufanya vizuri zaidi"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’