Simba haitaacha kitu mechi zilizobaki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jul 2020
Simba haitaacha kitu mechi zilizobaki

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, waliwasili salama Mtwara na kuendelea na maandalizi ya kuwavaa Ndanda FC katika mchezo wa raundi ya 33 utakaochezwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani humo

Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, amesema kuwa pamoja na kuwa wameshatetea ubingwa, watashuka uwanjani kuikabili Ndanda wakidhamiria kupata ushindi na si kukamilisha ratiba.

Rweyemamu alisema kila mchezo kwao ni muhimu na watashuka uwanjani wakifahamu wenyeji wao wanahitaji ushindi ili kujiondoa kwenye janga la kushuka daraja.

"Tunahitaji ushindi, tunahitaji kuupa heshima ubingwa wetu, tutacheza kwa nguvu ile ile ya mwanzoni," alisema Reyemamu

Baada ya mchezo huo, Simba itaeelekea Lindi kwa ajili ya kuwavaa Namungo FC katika mechi nyingine ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa Jumatano kwenye Uwanja wa Kassim Majaliwa.

Mabingwa hao wanatarajia kukabidhiwa kombe baada ya kutwaa ubingwa kwa msimu wa 2019/20 na kombe hilo litakuwa ni la kwao jumla kwa sababu ya kulitwaa mara tatu mfululizo.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’