Taarifa kutoka kwa uongozi wa Simba
Taarifa kuhusu hali ya beki wetu Shomari Kapombe tutatoa siku ya jumatatu Julai 6, 2020
Kwasasa jopo la madaktari wetu linaendelea kumfanyia uchunguzi wa kina ili kujua ukubwa wa jeraha lake
Tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka
ADVERTISE HERE