Simba yaifuata Ndanda Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jul 2020
Simba yaifuata Ndanda Fc

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimeondoka mapema leo kuelekea mkoani Mtwara tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda Fc ambao utapigwa Jumapili kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona

Huo ni mchezo wa kukamilisha ratiba tu kwa Simba kwani tayari wameshatwaa ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

Baada ya mchezo huo, Simba itaelekea mkoani Lindi, kule Ruangwa kuifuata Namungo Fc katika mchezo ambao Simba itakabidhiwa kombe lake

Kocha Sven Vandenbroeck anatarajiwa kutumia mechi hizi kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa hawachezi mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza

Lakini pia ni mechi ambazo zitatumika kama sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili, Julai 12 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’