Kapombe afanyiwa vipimo, taarifa ya daktari yasubiriwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2020
Kapombe afanyiwa vipimo, taarifa ya daktari yasubiriwa

Mapema leo, beki Shomari Kapombe alifanyiwa vipimo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kubaini ukubwa wa majeraha ambayo amepata baada ya kufanyiwa madhambi na Frank Domayo hapo jana

Taarifa iliyotolewa na klabu ya Simba, imebainisha kuwa baada ya kufanyiwa vipimo, anaendelea vizuri

"Shomari Kapombe leo asubuhi amefanyiwa vipimo vya kina ili kujua amepata majeraha ya aina gani na ukubwa wa hayo majeruhi (MRI). Taarifa ya majibu ya vipimo itatolewa pindi yatakapotoka. Lakini kwa sasa anaendelea vizuri," imesema taarifa ya Simba

Kumekuwa na hofu kuwa nyota huyo anaweza kuwa ametonesha majeraha yaliyomuweka nje kwa zaidi ya miezi nane msimu uliopita

Wadau wa soka nchini wamelitaka shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kumchukulia hatua Domayo kwani alidhamiria kumuumiza Kapombe

Ni huyu huyu Domayo ambaye alimuumiza nahodha John Bocco kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii na kumfanya akae nje kwa karibu miezi minne

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’