Mchezo wa nusu fainali kombe la FA kati ya Simba dhidi ya Yanga umepangwa kupigwa Julai 12 kwenye uwanja wa Taifa kuanzia saa 11 jioni
Aidha mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Sahare All Stars dhidi ya Namungo Fcutapigwa Julai 11 uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga
Mchezo dhidi ya Yanga utakuwa wa kisasi kwa Simba, huu utakuwa mchezo wa kuirudisha heshima Msimbazi baada ya Wana Jangwani hao kutamba baada ya kushinda mchezo wa ligi
ADVERTISE HERE